Subject: MWANAMKE HODARI/JASIRI
Mwanamke Hodari/Jasiri anajua namna ya kupanga maisha yake. Pamoja na machozi machoni mwake, bado anaweza kusema 'NIKO SAWA' au NINAWEZA' huku akitabasamu! Mungu ni MWEMA! Mabadiliko yanakuja, MUNGU amesikia maombi yako, na kusema MAGUMU yamekwisha! Kama unamwamini MUNGU, tuma ujumbe huu kwa wanawake jasiri 10, nikiwemo mimi, wanaokufanya wewe utabasamu!Kwa siku ya leo Itakushangaza, ni kwa kiasi gani utajibiwa!
2 comments:
thanx love tumepata ujumbe mwambie mama tunampenda asichoke kutubeba wangu kwan sis tutabaki kuwa watoto wake milele na mungu amuweke hai daima amein xxooxooxox its me sibanani na mtu lazima nibaki peke yangu heheheeh
karibu my dear umenichekesha na kausemi kako hahah mzima lakini?
Post a Comment