Jun 14, 2012

DRAKE APIGANA NA CHRISS BROWN!!

Drake na Chriss Brown watwangana club kisa Rihanna!
inasemekana walikutana club na Chriss akaagiza kinywaji kiende kwenye meza aliokaa Drake
yakwamba wasuluhishanae tofauti zao walizokuwa nazo miaka 3 iliyopita.Baada ya Rihanna
kumcheat Chriss kwa Drake,kinywaji kilipofika drake nae akaagiza kirudishwe kwa chriss
kwa matusi  juu na kujigamba kwamba kamlalia demu wake aliempenda maisha yake yote.


Mara Drake akaanzisha fujo na mwishowe wakamjeruhi Chriss wa watu.
poor him alikuwa amemwomba maelewano ila mjinga yule kamshushia kichapo! washamba wa mambo haya wapo wengi si wa bongo tuu!

2 comments:

Anonymous said...

afadhali atamuheshimu.mwenzake.bora apata alama ya ukumbusho.nb hata kwetu wapo.

amina said...

swsawa msg sent ..wapo wengisio bongo.tu kila. nchi sema afrika ndo tunaongoza nchizote

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...