Scarf prints naona nikavazi kazuri na kagumu kidogo kukapangilia jinsi ya kuivaa
so inabidi mtu awemakini ila ukifanya pupa unaweza unachukiza haswa kwa blouse.
Wadada wa kibongo wameivalia na black,black color inapendeza nguo za rangi yoyote!
kama unablouse ya scaf prints na imekuwia ngumu kumatch valia black.
wat a nice colors combination scart prints imevaliwa na white n nude blazer.
Botanical prints nazo zipo ngumu unahitajia umakini kwenye uvaaji wake.
Jalux Fashion's Tips
xoxo
1 comment:
nimeipenda hiyo nyako
Post a Comment