Mar 7, 2012

WISHING YOU HAPPY WOMEN'S DAY

                                 HAPPY WOMEN'S DAY TO ALL WOMEN OUT THERE!
UJUMBE  WENU TOKA JALUX NI
JIDHAMINI,JIPENDE ,JIAMINI NA EPUKA KUWA TEGEMEZI
KWANI NDIO MWANZO WA UMASKINI!

 NINGETAMANI NINGESHEREKEA NA NYIE MY BEAUTIFUL WOMEN
ILA IMESHINDIKANA SABABU YA DISTANCE NAWATAKIA KILA LA
LAKHERI
MY LOVELY MUMY

MY SISTER EDITH

MY SISTER NANCY
MY LITTLE DADA JACKIE

WIFI YANGU WA PEKEE MAGE
MY KUZIN NORAH

MY KUZIN MAMA NICOLE

SEXY GAL MIRIUM
MY GAL SALAMA

 MY GAL MUMY R
SWEETIE MAM LUCINA
MAMA YA CL WEWE TULIIFURAHIA PAMOJA  LAST W-END
NAKU WISH TENA.

21 comments:

Mdau Norway said...

thanks my love na wewe pia

sweetie gal jackie said...

asante dada yangu wa ukweli

Anonymous said...

na wewe pia aunt yao.missing u c u soon mummy claire

mama dina said...

nimependa dental formular yako

Anonymous said...

unadada wazuri hongera mama brandon

mamaloshi said...

mama loshi .asnte mumy b muke ya murundi hahahhahah tunajivunia hii siku ya leo na wengine tunawatakia siku njema popote walipo tubarikiwe wanawake tuonyeshe nguvu juhudi na ujasiri kupiga vita umaskini .na kubadilishana mawazo kwa wale wanawake wasiopenda maendeleo hahhahahhaah

nancy muke wa noel said...

asante kwa ujumbe mama b mume wa murundi .bila kujituma wanawake tutaburuzwa kama gari .ila kwasisi no .tutunapambana na maisha tu .mungu awasaidie wanawake wte duniani kuamka na kujituma sio tegemezi kitongaaa haipendezi.na kulazzimisha maisha yasio ya kujituma kutumia jasho za watu tuamke wanawake kama wewe ni mmja wao .usijiendekeze .ni kukomaaa tu hureeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

warda sinza said...

warda .ni kweli mamy muke ya murundi .hata uko wapo wanawake tegemezi?uku tzz wamejaaa yani hadi uko basi kazi tunayo ila msg yako imetulia tutazidi kuelimika kidogo kidogo nawachukia wanawake kitonga.asnte

Anonymous said...

wamependeza wte .jamni mamy lucina yupo uku mungu abriki sana.mama anjituma huyo namkubali sana .asnte kutuwekea picha zao tumewamissje

kokusimah said...

asante Jully,tulienjoy kwa kweli. Happy womens day kwa mara ya tena mami. pamoja

mama noel said...

hahahahhahah my wifi naona mwaka umeunza navishindo kama wanaijaaa mchekooooo .umependeza mama wawili .hongera.

Anonymous said...

JITHAMINI na sio jidhamini hivi kuandika hujui?

Anonymous said...

warda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch

Anonymous said...

warda mbon hata huku wapo ten wengi kazi kuchunga waume za watu na kuaribu ndoa za watu kisa kitonga go n find job bitch

Anonymous said...

hapo umenena tena mpaka wanapigan kisa kitonga tafute ajira wanawake acheneni na mambo ya mpito khaa unahongwa uku unadharirishwa starehe ipo wapi

msema kweli said...

papappa natuma salamu imfikie
shost pale stockholm na wema pale dar nihayo tu mtangazaji

Anonymous said...

Na maneno yawarudie na skatt mlipe na makwenu mtulie ya watu myatue!

Anonymous said...

majungu,na kutengeneza habari za uwongo mpk kuanya ziwe kweli,ujuaji mwingi, na kujishtukia kuwa kila siku unasemwa wewe WANAWAKE TUACHE.

Anonymous said...

kabsa

Anonymous said...

ndugu zangu mmependeza sana.

JALUX'S FASHIONS said...

asante my dears wewe ulietuma salamu imenivunjambavu lalala

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...