Mar 26, 2012

MKASI -

i do luv this show ila Salama na wenzake inabidi wawe serious sasa, walianza vizuri 
mwanzoni ila sasaivi matani mengi wanaaribu ladha ya show.

3 comments:

couzin said...

madam ritha anajiamini mpaka raha mama b upo njian kufikia.apo n you can make it dada angu luv u

muke ya murundi said...

lol kuzin unamambo asante.mwaya kama waliona hilo

Anonymous said...

joan said...ndio kijuli c mchezo kwa macofidance..haaa haaahaaaaaaa....huwa hajali kwa kweli.

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...