Mar 18, 2012

HAPPY BIRTHDAY BIBI RIHANNA

Riri akimfanyia shopping bibi yake kwa ajili ya birthday party that's lovely.
hakuna kitu chenye raha duniani kama kuifanya familia yako ifurahi i luv that.

bibi aliimiza miaka kadhaa w-end hii.
riri akitoka nunua cake ya birthday 


woow akimpikia bibi
party ikaanza kwa makiss
akideka na bibi na babu
bibi was happy the all day
hapa ndio Riri alipojifunzia swagg chezea bibi.

4 comments:

kokusimah said...

Safii kanifanya nimmiss wangu lol! Riri naye kaobagika au? Niulizie next Tyme ukienda kutembelea tena.

JALUX'S FASHIONS said...

hahaha obangi sasa naona fashion bado wewe mama d

Anonymous said...

Mh wengine hiyo obag mnionea. Hebu jiangalieni kisha hiyo obag inaanzia wapi!??? Mtanunua product ngapi na utapaka wapi uache wapi maana mwili mzima .........ajuae mola!!!!

Anonymous said...

watu wana kronor wew unadhan wanapurukika tu leo mweupe kesho mweusi

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...