K
unauvumi uliotanda kwa sasa ya kwamba hot gal Kim karudiana na mpenzi wake wa zamani Reggie baaada ya kuachana na mmewe kris miezi michache iliyopita.kris na kim ndoa yao ilidumu kwa siku 72 ,Reggie alidai ya kwamba alishajua ndoa isinge dumu ya kim na kris.
Wanapendezaje hot couple
Reggie real knows how to make kim happy
Bibie karudisha kambi kwa bwana mkubwa baada ya mbwebwe nyingi?
No comments:
Post a Comment