Dec 9, 2011

MY BEST SINGER DOGO ASLAY

Nampenda sana huyu mtoto jamani kiasi cha kwamba nahamu nije nimwone live
 huu mziki hauwezi pita siku bila kuusikiza ,nikiwa jobb ndio naimbaweee luv u aslay.

3 comments:

Anonymous said...

dogo anatiiishaaa.na brandn ataimba maana ye na muzikiii.

Anonymous said...

Brandonii lazima awemwana muziki tu.

mamaloshi said...

DOGO ANACHANA SANA MUNGU AMBARIKI HATA MWANANGU LAZARO ANAMPENDA UKISIKIA ANAVYOMUIGA KUIMBA .KICHEKO CHANGU.ITABIDIWAFUNGUE BENDI

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...