LEO NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI NA SIKU YA RED RIBBON FASHION GALA 2011 @
FLAVY NDIO BALOZI WAO AME TWEETS PICT YAKE NA KUSEMA GOWN YAKE IMEKUWA DESIGN BY ZANG TOI FROM NY CITY I CANT WAIT TO SEE RED CARPET 2MORROW
KHADIJA MWANAMBOKA KWENYE MATAARISHO YA SHOW HII ,MUNGU AMBARIKI KWA KUFANYA JAMBO MUHIMU KAMA HILI KUCHANGIA WATOTO YATIMA NA WAADHIRIKA INGIA HUMU WWW.tmtmitindo.blogspot.com kwa maelezo zaidi
1 comment:
green haimchukizagi mtu.mie hapo namsubiri Mwamvita tuu ananikoshaga sana redcarpet
Post a Comment