Dec 7, 2011

FASHION DISCUSSION:JE UNAPO VAA KHERENI NDEFU KUNAUMUHIMU WA KUVAA NAKELACE(MKUFU)

Hey guys leo tulijadili hili swala la khereni ndefu!kuna watu wengi nilishawaona wakivaa khereni(earrings)ndefu huwa hawavai mifuku shingoni kwa mana itakufanya uonekane vibaya je wewe unalionaje hili?


qeen latifa kalifahamu hilo jumpsuits yake kavalia khereni ndefu bila mkufu







mpaka hapa naona tushaona ukweli upo wapi haina haja na mkufu ukiwa umevaa khereni ndefu picha zimejieleza zaidi kama ulikuwa na na kamchezo ka kuvaa kwa pamoja acha vaa khereni peke yake unoge zaidi
nakaribisha maoni yako!

1 comment:

Anonymous said...

Hapo sina ibishi mwee

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...