WAPENZI TUPEANE SOMO KIDOGO HAPO WEWE UNAONA STYLE YA HIKO KIATU KINAENDA NA HILO GAUNI?
MTAZAMO WANGU NAONA HAVIENDANI KAMA VIDOLE VIMECHOMZA SANA,KINGEFAA KIATU CHA KUCHOMOZA VIDOLO2 VYA MBELE TU!
BILA KUKOSEA ANAGEVAA CHA KUFUNIKA KINGEONEKANA KAMA BOOTS ZA WINTER VILE SABABU GAUNI MBULUZO JE WEWE UNAONAJE?
No comments:
Post a Comment