Nov 29, 2011

WINTER TREND VELVET OUTFITS

Once again velvet trend is back in this winter fall.


Nicole rocks with hers

Solange amevaa velve ya viatu

Marc by Marc jacob nae katoa ya suit.

Hot velvet kitu cha animal print ,kim hapo no comment!
 Holiday zinaanza stay tuned na velve yangu sikutaka kubaki nyuma nami nikajisevia we unangoja nini na sasa ni sales LMAO!

1 comment:

Mdau Norway said...

Sale zipo kweli sema kwa hizo new collection sidhani labda uende lile duka letu na utakuwa stockholm oyeee mkifika club basi mpo kama kumi ivi mmefanan ngngrrrrr

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...