Nov 16, 2011

UNDANI WA IRENE UWOYA KUPITIA KIPINDI CHA MKASI

8 comments:

Anonymous said...

Du hapo nitapinga mpaka kufa kiatu laki 9

Anonymous said...

Mbona kesha mmwaga ndikumana hii interview ya lini?

Anonymous said...

KIA2 laki 9 inamana ni kr 3500 kweli au $ 400 mmhmm kweli jamani au ndioo nogesha kipindi.

Anonymous said...

kia2 laki9 mahari yake ilikuwa shiling ngapi?

Anonymous said...

hiyo big g ka ng'ombe anataka kucheua ka!sawa kuna mikogo ila mh ungetafuta mpya.mbona ni mzuri tu!

Anonymous said...

lmao watu wanapose sasa anajitafuna nini kama panya anakula maindi ila kwa uzuri nimzuri sana na msafi

Anonymous said...

hahahahahahaha mbavu zangu mie,panya!!!anakula mahindi!!!hawa celebrity wanna be inabidi wajicheki sana kwenye vioo.

Anonymous said...

Namumee nimemkamata mie sasa kazi hipo:)

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...