Nov 8, 2011

D'' BANJ IS IN RELATIONSHIP WITH GENEVIEVE NNAJI!

Mwanamziki D'Banji amefunguka kwenye kituo kimoja cha Tv huko Naija na kusema kwamba anauhusiano wa kimapenzi na mwanadada Genevieve Nnaji ambae nae ni Actres mkubwa sana kwa Naija na hata Africa nzima.


Miezi miwili iyopita magazine ya the people iliandika Genevieve anategemea mtoto ambae baby dady ni D'Banji.mtoto atakuwa mcutee kama mama yake.


Wat a lovely combination!
                                                                               

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...