Maiti za watu zimeshapatikana ni 192mpaka sasa,imesikitisha ni watu wengi sana ikiwamo watoto wadogo.
waliookolewa ni watu 610,idadi ya abiriki ilihesabiwa mwanzo ni tofauti jumla yao ni 760
,waliosajiliwa ilionyesha ni 670 lakini baada ya maafa ikajulikana idadi tofauti yani abiria 760 kwahiyo watu 100 hawakusajiliwa kwenye vitabu vya abiria.Nchi inafanya maombolezo siku tatu na bendera nusu mlingoti hakuna sherehe wala michezo ya kukusanyika.
1 comment:
Emung wa rehema cheki watoto wachang hao jamani.kwanini lakini watu wawili au watatu walete tamaa na maafa makubwa haya bila kuwazia malaika hawa mungu awalaze pema peponi AMina
Post a Comment