Sep 22, 2011

BURBERRY PORSUM SPRING 2012

Burberry amedesign nguo za kwa african material kwenye last collection ya 2012 take a look.

kigauni la african touch

Blazer ya kitenge


material za hii gown sijui zinaitwaje ila zinapatikana sana ivory coast

kwenye macoat pia yapo

hili laukweli nalipigia picha litanipendezaje

hizo ndio baadhi ya swagg za burberry za 2012 
                                                                

4 comments:

Anonymous said...

hongera unaplan ya kulinunua inakubidi ujichange haswa

Anonymous said...

the dreamer

Anonymous said...

Lazima binadamu uishi kwa dream kwa raha zako bibie na hivyo unaajira ugumu upo wapi omba uzima tu na mipango dola elf 2au 3 hazikushind maamuzi tu ya mwezi

Anonymous said...

ha ha ha mh

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...