Aug 16, 2011

LUK OF THE DAY TYRA

Madame kavalia jumpuit ya colorblock kapendeza!katoka simple kuanzia makeup na accessorries.Mnaofahamu tufundishane nguo ya bega moja inapendeza ikiwa na nakelace
au ikivaliwa bila nakelace kama Trya hapo?

2 comments:

Anonymous said...

hapo angevaa cheni angechukiza

Anonymous said...

mie naona inategemeana na aina ya nguo kama ni gauni au top ndio unaweza kupangilia

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...