Riri abadili style ya nywele sasa anadark red na zipo kama curl .
ila kimenishangaza kuona nywele za rangi nyeusi kujichomoza kwa mbele ,sasa msusi hakuona hilo au ndio style mana nywele hazipendezi tena zinaonekana more fake au wewe unalionaje hili!
6 comments:
the hair makes her luks natural n glow
audin
ain't nice the kitchep color was the best than this.
mwanadada yupo sexy huyu du
MBAYA. I THINK NI WANGU MTAZAMO
NAONA KIFUKO CHA ZARA NYUMA PALE SIJUI NI BODYGUARD AU????????
Teteh saivi ni sales hadi riri nae anazidia denge za zara
Post a Comment