Sylvia Nduka
Ameibuka mshindi na kuzawaidiwa kiasi cha 3milion Naira na gari ndogo ya hyundai.
JE shindano hili lingekuwa Tanzania mwaka huu 2011 ungependa nani na nani washiriki na wajali vigezo gani?mana washiriki wetu wengi kwenye mashindano mbali mbali huwa hatujui vigezo wanavyopewa na mwishowe wanaorepresent Tanzania NJE YA NCHI WANAKUJA NA MATOKEO MABAYA UKIANZIA MISS WORLD,UNIVERSE,TOURISM NA WENGINEO.
1 comment:
Hapo kwa ambao wangeweza kushindania wote waisha shiriki kama odemba jokate favvy. Kiwia, nancy sasa sio mwingine mwenye akili timamu mwishowe ndio wataokota watu kama wema sepetu
Post a Comment