Swala la viatu virefu sana havinaga ujuzi jamani. katika maisha ya kawaida tunaonaga macelebrity ndio watu wa kwanza kwa kuvivaa kumbe nawao huwa ni geresha tu ila maumivu yake wanayasikia na hata hubeba spear ,viatu vya chini kiasi cha kwamba kachoka basi anaviweka na kuvaa vya flati jamani urembo kazi usione haya kubeba spear ukitoka mitoko yako kumbe ni jambo lakawaida tu.
Mwigizaji wa Gossip girls Blair Waldorf hapa kapendeza na color blocking zake katika shotting yao
baada ya mda akaona isiwe tabu sasa akajivalia kandambili zake.
No comments:
Post a Comment