Nimevutiwa na louis vuitton tangua alipoamua kuitangaza Africa kupitia collection zake,hapa ametumia mashuka ya masai kutengenezea scarf naT- shirt kwa menswear it's sound lovely to use african fabric.2012 spring ndio zitatoka na kuvaliwa zaidi.
Bright hues of red and royal blue inspired by masai blanket i luv it.
No comments:
Post a Comment