Jamani msipate mfadhaiko au mshtuko kwa kichwa cha habari hapo juu.mkajiuliza maswali mengi bila majibu imekuwaje nikaandika vitu hivi sehemu kama hii,nimeguswa sana na dada mmoja nafanya nae kazi alikuwa anazungumzia jinsi gani anavyoteseka na kunuka kwa sehemu zake za siri na ameshajaribu njia mbali mbali ila zimegonga mwamba,na kiasi cha kwamba ndoa yake ipo matatani ,mmewe kesha mchoka na kiasi chakwamba hampi tena unyumba.
mimi binafsi sikuwa na idear yoyote kubwa ya kumpa kiasi cha kwamba awe ANATUMIA MAJI YA VUGUVUGU YENYE CHUMVI CHUMVI KILA AENDAPO CHOONI NA ASITUMIE SABUNI ZENYE ARUFU KALI KUJIOSHEA HUKO,na kujisafisha mpaka ndani na kutoa ule ute,dhumuni la kuandika humu ni kuwauliza kwa yeyote mwenye kujua lolote juu ya hili jambo tumsaidie mwanamke mwenzetu kuinusuru ndoa au hata wasomi wa hii post nao watanufaika kupitia maoni yako kama nao wanamatatizo kama haya.
Asanten
5 comments:
Siijui dawa kwa jina ila najua ipo juu kuna m2 alikuwa na tatizo km hilo tena AFRIKA na aliweza kipona dawa ipo km kacream ivi unapaka huko eneo la tukio sasa kwa hapa ulaya naisi ndo jibu atalipata mapema awe tu muwazi km ni apoteki au km ataamua kwenda kumuona doctor. POLE SN SHOGA ILA WORRY OUT DAWA IPO. na wala sio ugonjwa wa zinaaa huo mana kuna watakaozani ivo
mmh huyo amwone dokta
haina dawa huyo huenda ameridhi toka kwa mzazi wake
huenda hanywi maji ya kutosha naimani maji ni dawa nzuri sana ajitahidi hata lita 2.5 kwa siku hadin3 itamsaidia
huyu dada hajioshi vizuri,jamani kuna wa2 kweli hawajui kuwa ukeni kuna uchafu eti,kwanza akiwa anaoga aingize kidole cha shahada yaani cha tatu ila cha mkono wa kuume aone kitatoka na nini sawa.aendelee kila asubuhi na jioni kuna uchafu kama maziwa mtindi wanawake mnajua hilo na ndo maana kuna wengine hata chupi huchafuka mara chache baada ya kuivaa kumbe huko kunako hakijasafishwa ipasavyo na baadae huleta muwasho na harufu kali nilielekezwa na bibi jamani loh sikunuka hadi leo.hata ukilala na mumeo kama hujasafisha kesho unaona kunanuka mana shahawa hubaki ndani.asanteni
Post a Comment