Katika bongo movies hakuna msanii wa kiume naempenda kama Jacob Stephen( jb),huyu baba anajua kuuvaa uhalisi wa hali yoyote na mazingira yoyote.Kikubwa anachonivutia au kuvutia wengi ni yupo serious na kazi yake mpaka unaona hapa ana act sio michezo ya kuigiza.Jb amepata awards za ziff toka Zanzibar ya mwigizaji bora wa kiume kupitia movie yake´' Senior Bachelor'he deserves it ameipata kihalali kabisa.kwa wanaopenda angalia movie za kibongo ingia http://www.greatlakesmixmovies.com/
Jb anakipaji kikubwa kupita wasanii wa kiume wengine wote hapo bongo sema bado hajafanikiwa sana, kama wakina kanumba na Ray siku yake ikifika naona ataleta mabadiliko makubwa kwenye movies za bongo.
1 comment:
ni kweli jb kubwa lao,anajua nidhamu ya msanii iko wapi.mungu angemsaidia na yeye apate mtoto hana jamani mpaka wanasemaga ye c rijali.
Post a Comment