DIAMOND AVAA SWAGGALICOUS ZA BLOCKING COLOR KWENYE MOYO WANGU SONG
NIMEIPENDA HII VIDEO IPO SIMPLE NA TOFAUTI NA NYINGINE KWA NAMNA FLANI,KIMAVAZI WAPO SIMPLE NA WAMEMIX RANGI TOFAUTI TOFAUTI ZA KUNGARA(COLOR BLOCKING)MAT-SHIRT NA SURUALI, KAZI NZURI DIAMOND PEMBENI BABY YAKE AKIMSUPPORT WEMA SEPETU INAPENDEZA!
1 comment:
nyimbo nzuri ,ila bababy ya wema kucheza nizero
Post a Comment