Jul 7, 2011

CELEBRITY HAIR RISK TAKER'S

when it comes to hair ,there's no risk taker quite rihanna.which of her over the top hairdo is hottest.akiamua kuzikata anakata,kuzipaka rangi na mbwebwe nyingi huyu ndio  celebrity bana mionekano mipya dairly na kuwapa watu hamu ya kukuangalia kila siku.

                              
kwa celebrity wa bongo naemwona ni risk taker wa hair do ni Sara kaisi a.k.a shaa.huyu dada anajipenda  kila umwonapo popote huwa msafi sana nawish ningewahi sikia interview yake au kuiona nijue anafanya shughuli gani utikoa uanamuziki,hongera mumy .

                                                             

1 comment:

Anonymous said...

Shaa ni model ukitoa uimbaji

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...