Jul 7, 2011

RANGI ZA MICHARUKO

                                      
world of fashion,zamani watu walikuwa wakichukia sana rangi za micharuko(kungaa)ila kwa sasa zipo hot hakuna anaezichukia tena na kuvaliwa rangi mbili au tatu tofauti kwa pamoja.na sasa huvaliwa na hata wanaume si kwa wanawake peke yake ,fashion never die.

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...