Baridi ndio hilo bye bye tunaingia bikini season hapa hakuna jacket ufiche minyama uzembe kama kipindi cha baridi ,kwa walio kuwa bado na vitambi bado hamjachelewa jitahidini kupunguza tumbo mana bikini ndio kama mnavyo ziona mvuto mwanzo mwisho.Winter inatudanganya twalaa wee summer time inafika kila nguo haipiti kwa unene.
No comments:
Post a Comment