Je kuna tofautia wa upakaji wa make up? kutokana na mda na sehemu unayokwenda.mimi binafsi nasema ndio make up ya mchana na usiku zipo tofauti na pia inachangia mazingira unayoenda!
1:makeup ya mtu anaenda kazini inatakiwa iwe simple na ionekane more natural.na inamfaa mtu yoyote ataasie kwenda kazi ni nzuri kwa mchana
.
make up ikikaa ivi huvutia zaidi kiofisi haina mambo mengi.
2.make up ya kanisani tofauti na makeup ya outing haitakiwi ya mingaro ngaro mingi kiasi cha kwamba watu wote wakawa wanakushanga.
ya kanisa haina tofuti sana ya kazi hapa unaweza weka eye shadow isio ngara kama hiyo.
3:make up ya outing haswa usiku hapa ina tofanautiana na ya mchana hapa unapaka make up za rangi rangi ndio zinakungarisha usiku ila sio zakutisha ni zile zinazoendana na rangi yako kama unaenda dinner,cinema au club.
kwa wale wapenzi wa rangi za kung'aa kama hizi mie naona zinafaa usiku
hapa ndio unaona vizuri makeup ya mchana na usiku inavyo tofautiana
kuna watu wengi wanapenda lipstic za kushine wanapaka usiku na kumfanya ashine zaidi.
kuna wengine wanapenda makeup ya hivi kwenye outing zao simple n smart.
na hapa unaweza ukawa na foundation moja tu ila lipodozi ndio ukawa navyo vya usiku na mchana nikimanisha kama eye shadow,blush,lipstic na mengineo.
4 comments:
du hapo umenena mana mtu anaenda kazini na mieye shadow machoni inahuu,wananibomie
watu wana ushasema inahuu sasa tatizo liko wapi????? haikuhusu wewe mtazamaji wala anaofanya nao kazi.
zip it up
some one call ambulance pls
Mbavu zangu mie walai lol, ambulance tu????? na polisi pia naisi mana hawa anonymous wakinana km zitalika vile
Post a Comment