Apr 21, 2011

BEYONCE N HER HUBBY IN PARIS

                        
lady B n hubby Jay z walikuwa paris na wakapigwa hizi picha .hapa nimevutiwa na hili gauni lake hapo kifuani kweli summer ni summer style za nguo ni nyingi za kujiachia tu kama haka full kiyoyozi unapigwa kaupepo no joto hapo.amematch vizuli na snakeskin leather bag  na peep toe ya christiana laboutin mguuni.mix print yake ipo so simple n sexy

1 comment:

Anonymous said...

Nimependa majipunguzisha kdg hivi karibuni na karangi ka mwili kweli km kameongezwa kdg nilikuwa nabisha ila naanza kukubali

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...