Wema sepetu alishakuwa miss Tanzania 2006.wema ni mdada mzuri kiumbo na ila tabia yake ilishaharibika tangu alipokuwa amevishwa taji la miss tanzania. kubadili wanaume kwa mda mfupi akiwa kwenye mahusiano nao
kibaya zaidi huyu dada ni mzuri mno sioni linalo mtatiza jamani,mpaka anahaha tena na watu wa ajabu ajabu ambao hawaendani na yeye hata kidogo
Wema mama yake kesha jaribu mkanya kwa mara nyingi ila hakusikia.ushauri wa bure wema kaachini tuliza akili ,utapata mpenzi wa mana na kuanziasha familia yenu,achana na mapenzi ya miezi mitatu inakufa wewe ni mwanamke mzuri tu usie staili jirahisisha kama hivi,mwone sinta kaangaika kaona ujinga ivi katulia na mmewe.
kwasasa mpenzi wake ni diomond kama unavyowaona
Wema na mkwewe mumy diamond
Wema enzi zake H baba mapenzi yalikwisha.
Kanumba nae hakujiweka nyuma kwa wema,mwisho wa mapenzi yao ilikuwa ugomvi mkubwa mpaka kupelekana polisi.
Wema hapa alipendezewa zaidi na jumbe yusufu na wakafunga ndoa ila walishindwana.
wema alipokuwa marekani kimasomo ikasemekana huyu ndio alikuwa mpenzi wake kwa huko marekani ukweli anaujua yeye
7 comments:
Nimemind sn wema kuandikwa ivi. Kwani tatizo nini?????? mbn haya ni yakawaida m2 kuwa na wanawume au wanawake wengi???? mazala ndio yapo na sio kwamba hatujui ila ndo tunapenda kuishi ivo.Umetoa mf wa sinta alikuja tulia nasi mda haujafika tutalia wameshindwa mama zetu we utaweza?????
Mtuache jamani tumepewa bure nikibane cha nini??
Kama kuna siku Jalux umekosea ni leo we unatakiwa kutuambia tu fulani anatembea na fulani tupe habari na picha lakini sio kusema inabidi atulie ye mzuri asiwe hivi okey ni kweli ila hupaswi kusema ivo Miamor
nakubaliana na nyie wote juu hapo ila haendani na mambo anayoafanya kwani kubaili relationship ni jambo la kawaida ila sio kiivo kwa mtu alie kioo cha jamii watoto wanajifunzanini kwake,na pia ukishindikana na mama yako sio njia ya kwamba ulimwengu utakushinda mbona sinta ulimwengu umemweza
binadamu tunaishi kwa kukumbushana na kuonyeshana makosa mie sioni baya kama hili
bwana wake wa marekani mzur kweli kupita wote
hahhah kunashost kaguswa sana na huu ujumbe sasa sijuie nae ndio walewale wakina wema sepetu bibie kama imekuuma jibebe habari ndio hiyo
muda ukifika atatulia kama wewe ulivyofanya.kila mtu ana chaguo lake ktk maisha..shiiiii
Post a Comment