Mar 24, 2011

TIMAYA -MWANAMZIKI MWENYE UJUMBE MZURI

MWANAMUZIKI TIMAYA TOKA NAIJA ,NAPENDA NYIMBO ZAKE ZINAMPA MTU FARAJA HASWA KWA MWENYE  HALI YA CHINI ZAIDI YA KIMAISHA,NYIMBO YAKE YA PLANTAIN BOY
INAUJUMBE ANAKWAMBIA LEO UPO STREET BOY KESHO UMEAMKA
TAJIRI KIKUBWA IMANI .

1 comment:

Anonymous said...

haswa imani ndio kitu muhimu na ukiona bahati haijafika kwako ujue ipo kwa jirani kwako .ya kwako ipo njianiusichonge ngojea

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...