Hii fashion inaelekea pazuri naona materials za Africa zimeanza kukubaliwa ,khanga ,vitenge madesigner wengi wa majuu wanazitumia material hizi,sasa hapa Kate katuletea pochi lililotengenezewa na makuti,akachanganya vijierembo vingine mana pochi limesukwa kama mkeka.na red carpet limefika .
1 comment:
Kate Spade..
Post a Comment