Mar 4, 2011

HAPPY BIRTHDAY SAMUEL

                                      
Hongera baby samuel kwa kufikisha miaka 3.mungu akuongoze uzidikuwa mtoto mzuri. BRANDON,LOSH ,FREDY,BABY AGNES.NA KAKA INNO wanakutakia happy birthday na wanakwambia wanakupenda .

5 comments:

pendo uk said...

Happy birthday big boy cham

Anonymous said...

MUNGU aakubariki uwe mtt mckivu,akuzidishie baraka tele samueli.

Anonymous said...

hi .hongera kwa kutumiza miaka miaka 3.mungu akujaliae.uishi miaka mingi.

Kdanmag said...

Mbila mbila hongera kwa kuwa mkaka jitahidi na masomo,mkumbuke mungu na heshimu wazazi wako. Happy birthday.

Anonymous said...

mashauzi .,hongera mwanetu soma ufike ulaya hahahhahhahahahhaha

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...