Cracked nail print,this is the fierce nails,wapenzi wa kupaka rangi za kucha style hii mpya ishafika ,ufa ufa tulio europe na American hapa
mchina ametuweza sio mpaka utafute mtu wa kukuchora print hii ni wewe mwenyewe unajipendezesha.
Cracked print zipo za rangi sita tofauti na kilichonivutia zaidi kulingana na maelezo ya picha ya kwanza hapo juu inaonyesha zipo tayari cracked
(ufa) ukipaka ufa unajitokeza,kazi ya mchina hataki mchezo .
1 comment:
mashauzi mmmm mchina nae soko linakwisha kwa wamachinga ajira ngumi.but wametupunguzia kazi
Post a Comment