Feb 18, 2011
NURU'S STYLE EVOLUTION
GOWN LA CHEETAH PENDEZA
I LUV THIS GIRL,RIPPED JEANS HIYO PENDEZA NA MNYAMA
viatu's mumy ni balaa
Animal print naona nuru ndio favourite yake anamvaa kwa kila style.
izo rangi amemix poa
IMB ULINIKOSHA MNO
SHORT JUMP SUIT LUK FAB..
MPAKA HAPO NADHAN MNAKUBALIANA NAMI NURU NI FASHIONISTA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
3 comments:
wooow she is looking amazing,from the head up to toe absolute ni fashionista
hakuna ubishi mie nampitisha,mana sifa ya fashionista nywele,na kuvaa mavazi kulingana na umbo lake sasa bibie yote ameyamudu
she kwo how 2 match her colour u luk gud my d.
Post a Comment