Oct 24, 2011

LOOKBOOK :KASTLE DESIGNS FALL 2011

WAT A LOVELY GOWNS FROM KASTLE THIS FALL 2011.NGUO NYINGI ZA USIKU ZINAKUWA NGUMU KUPATIKANA KWENYE KIPINDI CHA BARIDI  HASWA NCHI ZA EUROPE.



KUKUTA NGUO NZURI KAMA HIZI NI NGUMU MPAKA SUMMER ILA KWA SASA NIMEKUWA SURPRISED BAADA YA KUONA MADUKA MENGI BADO WANAZIUZA


VIJIGOWN VIZURI TU VYAKUTOKEA ,SIO KAMA MWANZO UNAKUTA NGUO ZA MASWETA TU.HAPO UKIVAA JACKET REFU NA STOCKING UMEFIKA SAFARI YAKO BILA SHIDA


PURPLE NI RANGI YA SPRING KWA SASA.
                                                                                     





                                                                                        

1 comment:

Anonymous said...

Wapi wewe na baridi la ulaya mmh utaganda mpaka mate

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...