M
wanamziki wa kizazi kipya jaffarai,ameandika kwenye face book yake leo kwamba ameamua kuachana na mpenzi wake shy rose,walio dumu kwenye penzi lao miaka 8.na hii ifuatayo ndio status alioiandika face book.
"Nimeachana na Shyrose Bhanji (kicheche mzee) baada ya kugundua km anatoka kimapenzi na mr 2... ni aibu sana kwa mwanamke mwenye miaka 42 kua kicheche kiac hicho!!!! nilitegemea mtu km mr 2 angeanza kufanya harakati ktk mziki wetu lkn harakati zake zimehamia kwenya mapenzi na madem wa wasanii wenzake... ni aibu kubwa sana"
jaffarai akiwa na shy rose kabla hawaja achana
mwanamziki jaffarai amekosea mno kuandika status kama hii coz huyu ni ex wake hakustahili kumdhalilisha kiasi hiki kwenye vyombo ya habari ,atakama alifanya kweli hayo makosa ya kumcheats na mr blue,shy rose ni binadamu kama binadamu wengine,na iweje aumie mno kuzidi shy rose alie achwa, hapa amechemka na maumivu yake yanaonyesha utata huenda yeye ndio kaachwa na ndio mana kakimbilia vyombo vya habari mapema kabla ex wake ajaongea lolote.
5 comments:
mwanaume wengine bwana sasa uliulizwa sababu ni nini mbona wakati unakula pesa zake ulikuwa uwandiki face book
pole shy rose achana nae huyo mwehu,nimeskia clouds fm walimpigia anajiongelesha utumbo
kazi kweli kweli
mmm makubwa pole dada kaza buti
NAMKIRUDIANA PIA UTUJULISHE SIANDIKE KIPINDI MMEACHANA TU PUMBAVU.
Post a Comment