Dec 6, 2011

SWAGG 3 KWA USIKU MMOJA AMETISHAA FLAVY

FLAVY BALOZI WA RED RIBBON FASHION GALA ALIVAA MAGAUNI 3 KWA USIKU MMOJA ,NILIPENDA ALIVYOVAA NGUO  TOFAUTI NI KICELEBITY ZAIDI KAMA MACELERITY WA HOLLYWOOD VILE KWENYE KUTANGAZA ALIVAA HII GREEN

GREEN WAS THE BEST


                                                RED CARPET KITU CHA MBURUZO


KIOFISI ZAIDI

WOLPER ALIHARIBU POSE ZOTE



                                  WOLPER ALIPENDEZA KWENYE HARUSI YA JACKIE CLIFF ILA SIKUELEWA UMUHIMU WA HIZO HEAD PHONE,SEHEMU KAMA HIYO NDIO SWAGG? 
                
UKITOA HIZO HEAD PHONE BILA SHAKA UNGENOGA ZAIDI MANA MAKE UP WAS OKEY,SHOEZ,ACCESSORIES.

                                                             

NICE VIDEOOO WENYE VIUNO VYAO WAPO WENGI

WOOOW NILIKUWA NAINGOJEA HII CLIP ,CASSIM ALIHOJIWA NA DINA MARIOS AKASEMA HUU MUZIKI UMEGHARIMU ZAIDI YA 10MIL TZ SHS KWENYE KUTENGENEZA VIDEO YAKE ,ILA DINA ALISHANGAA !AKAONA NI NYINGI AJIELEZI ZIMETUMIKA VP
ANGALIA VIDEO JE UNAIONAJE? HOPE ITAUZIKA ZAIDI ASIPATE HASA



CHEZA KIKUKU USICHEZE KIDUKU I LUV HIYO

MTOTO WA USWAZI NI USWAZI TUUU

Dec 5, 2011

FASHION DISCUSSION

Demi Lovato Dishes On Her Ideal Man
WAPENZI TUPEANE SOMO KIDOGO HAPO WEWE UNAONA STYLE YA HIKO KIATU KINAENDA NA HILO GAUNI?
MTAZAMO WANGU NAONA HAVIENDANI KAMA VIDOLE VIMECHOMZA SANA,KINGEFAA  KIATU CHA KUCHOMOZA VIDOLO2 VYA MBELE TU!
BILA KUKOSEA ANAGEVAA CHA KUFUNIKA KINGEONEKANA KAMA BOOTS ZA WINTER VILE SABABU GAUNI MBULUZO JE WEWE UNAONAJE?

HIVI VIATU NI NO COMMENT!

Dec 2, 2011

HAPPY BIRTHDAY CLOUDS FM

2TH DEC2011 NDIO BIRTHDAY YA CLOUDS FM TANGU IZALIWE MIAKA 12 ILIYOPITA,
BISHANGA, DOKII,DINA ,ZAMA.GEA HABIBU SHOST HUYU ANANIGUSA SANA KATIKA HEKA HEKA!

                                                                         CLOUDS FM 
RADIO BORA KULIKO ZOTE TANZANIA RADIO YA VIJANA KWA UJUMLA LEO

INASHEREKEA KWA STYLE YAKE IMEWAALIKA WANAMUZIKI ,WACHEZA MOVIES,VIONGOZI MBALIMBALI  KATIKA KUSHEREKEA
                                        IMERUSHWA LIVE KUPITIA CLOUDS TV.
                                        
                                
MAAKULI HAYAKUKOSA KATA KEKI TULE.

NIKIWA HOME LAZIMA NISIKIZE CLOUDS HASWA
1:HEKA HEKA,
CARIBEAN BEATS,
LEO TENA,
ALAZA ROHO,
JAAZI
NA KIPINDI CHA GEA HABIBU KILA JUMAPILI INGAWA NAKIMISS MARA NYINGI,APO NAHISI NIPO HOME BILA KUBOEKA I LUV CLOUDS FM


LOOK OF THE DAY SHAMIMU

R.I.P MR EBBO MUNGU AKULAZE PEMA PEPONI


MWANAMZIKI ABEL MOTIKA a.ka.MR EBBO AMEFARIKI DUNIA LEO ALFAJIRI,ALIKUWA KWAO ARUSHA INASEMEKANA ALIKUWA AKIUMWA KWA MDA MREFU MUNGU AMLAZE PEMA PEPONI

Dec 1, 2011

Q CHILAH IS BACK I LUV THE VIDEO

FLAVY @ RED RIBBON FASHION GALA 2011 I LUV HER DRESS

LEO  NI SIKU YA UKIMWI DUNIANI NA SIKU YA RED RIBBON FASHION GALA 2011 @
FLAVY NDIO BALOZI WAO AME TWEETS PICT YAKE NA KUSEMA GOWN YAKE IMEKUWA DESIGN BY ZANG TOI FROM NY CITY I CANT WAIT TO SEE  RED CARPET 2MORROW 

KHADIJA MWANAMBOKA KWENYE MATAARISHO YA SHOW HII ,MUNGU AMBARIKI KWA KUFANYA JAMBO MUHIMU KAMA HILI KUCHANGIA WATOTO YATIMA NA WAADHIRIKA INGIA HUMU WWW.tmtmitindo.blogspot.com kwa maelezo zaidi

Nov 30, 2011

LOOK BOOK:JENNIFER LOPEZ

Style Tip: (Jump)Suit Up!

                                                 SEQUINE JUMPSUIT

FLAVY AIN'T LOOKING GUD WITH LONG HAIR!

Different style suit different people. i think flavy got a beautiful face with long neck.short hair suits her more than long hair ,do u see wat i see?

AIN'T COOL


SUPER NATURAL BEAUTY

WATU NA VIUNO VYAO

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...