Jun 25, 2013

RIHANNA IN THERAPY TO GET OVER CHRIS BROWN

Katika wadada wasio jielewa  huyu ni mmoja wao gals unamlilia mtu unaempenda ila hukwishi kumkwanza kumuumiza kila anapokupa nafasi Kweli dhamani ya kitu unakiona usipokuwa nacho!
Badgirl Riri 

Me nampenda Sana Riri ila ikifikaga mda wake kwa chriss Brown huwa namtoa kasoro haeleweki mambo mengi anamfanyia ,heshima hana sasa kama unajijua huyo mtu ndio anakupa Furaha Kwenye Maisha yako mdhamani na kumpa dhamani yake,poor her sasa anahangaika kwa therapist sababu ya mapenzi ,it's too lake Karrueche kesha mbeba Chriss Brown na anamlea ivi kama mwanaume anavyotakiwa lelewa.
Karrueche n Chriss

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...