Jun 5, 2013

MDADA AHUKUMIWA KUNYONGWA!!

Inasikitisha kiukweli huyu dada anaitwa Fatma amekutwa na madawa ya kulevya alisafirisha kwenda
Nchini Egypt , adhabu ya Huko ni kunyongwa mpaka kifo,jamani inuma mdada anatarajia nyongwa ijumaa hii huko Egypt na inasemekana anamtoto mmoja ndio huyo cute  gal 
 wasichana wa kiTanzania jaribuni kuridhika na maisha mlio nayo,Pesa haina mwenyewe !Maisha 
Yasiwapeleke pabaya ukiridhika na dhiki yako utaishi kwa amani kuliko utajiri wa mashaka uku unaangamiza watu na kuua kwa biashara haramu ,katoto kanaenda kuwa yatima bila sababu
Namwombea mungu amnusuru na hii adhabu ,selikali ifanye lolote imnusuru kifo!',

No comments:

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...