Lol hii ni Kali kuliko T.i.d n Wema katika big brother hii sitotaka kupitwa kuiona Kama wakipitishwa kuwa wawakilishi wa Tanzania !japo kuwa Watu wengi ndio wamewapigia kura nyingi na wamewapiga chini Nancy Sumari ,Vanessa Mdee ,Reuben Ndege. Wawili hawa nimewakubali sema hawa wote ni jagwa (vigeugeu)mambo Yao utata tu.We unaonaje nani ataleta ushindi Tanzania kwa mtazamo Wako hapo Wema au T.i.d tiririka!!!!!
No comments:
Post a Comment