WOOOW BIHARUSI ALIPENDEZA SANA ALISHAREKEA KWA COLORFULL DRESS PARTY MOJA MAGAUNI MWAWILI TOFAUTI
GAUNI LA PINK ,NA HILO LA NJANO ILIKUWA PRE WEDDING!!!!! YELLOW YENYE GREEN NA KENTE WHITE HIYO ILIKUWA KITCHEN PARTY.
HAPA ILIKUWA AQDI GAUNI LA BLUE ,KIBAO KATA HIZO NGUO NYEKUNDU NA PRE WEDDING HILO GANI LA BLUE INSHORT ALIPENDEZA SANA ALITAKA KUFANYA KITU CHA PEKEE NA ALIWEZA TUNGOJE PICHA ZA RECEPTION
No comments:
Post a Comment