Aug 8, 2012

WHAT I WORE ON W-END

Hey Jalux team hope mpo poa .I just wanna share my short story about my crazy w-end with my little
dada Jackie.Tulikuwa town jumamosi tukienda mcheki one of my lovely friend alipata baby gal .Baada ya huko tukasema tushangae town basi tukakuta watu wengi! miziki ikidunda tukawafata
kumbe ilikuwa Festival ya Mashoga na wasagaji lolest waswedish wamedata

Mashoga hao wameupara utawajua kama madume

STAY TUNED KWA PICHA NA VIDEO ZAO.

Summer gal wore color block.
simple flat shoes made from bongo!nimenenepa mpaka najishtukia


nimekuwa mpenzi wa kubadili makeup hii ni Black opal
nayo ni fullfoundation kama nawe ni mpenzi wa makeup unaweza ijaribu naona ni nzuri.
yellow top from -Vila shop
Earings from- Bling bling shop.
Blue pant -from Weekday
Hand bag ilikuwa zawadi from my baby sijui ataduka.
Hair do ni Bralizian lacewig 
Me n my little dada Jackie
I luv u gal
Upcoming Model kiroho safii

ALL PHOTOS CREDITS TO
Jackie
Xoxo
                                                                       

2 comments:

Anonymous said...

nice colors combination

Anonymous said...

Hmmm .jamani mmpendeza naona ukoo wet mpo uko .mbarikiwe

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...