HUYU MWANADADA WA KIAFRICAN AMERICAN AMEPATWA NA CANCER BAADA YA
YA KUVAA FRONT LACE WIGS AMBAZO ZINAGANDISHWA NA GUNDI.
MASUPER STAR WENGI NDIO CHAGUO LAO HIZI NYWELE
TYRA
TATIZO NI MOJA UNAPONUNUA HIZI GUNDI ZA LACEWIG JAMANI NYINGI NI CHEAP CHEAP NA NI FAKE SASA NDI HIZO ZINAZOLETA MADHARA! KAMA UNAONI NI GHARAMA KUKUNUA GUNDI ZENYE UBORA BASI NUNUA LACE WIG WITHOUT GLUE
KAMA HII HAINA HAJA YA GUNDI NI KULIVAA TU NAKUBANA PIN ZAKE NYUMA NA MBELE BASI KAZI IMEKWISHA UNABAKI FREE NA AFYA YAKO.
BASI KAMA SI CANCER !GUNDI ITANYONYOA NYWELE ZOTE
NAOMI
1 comment:
Jamani wameumia ill ndo znapendezesha .kila kona matatizo.
Post a Comment