Jun 12, 2012

MMEWE JACKIE ATUHUMIWA KWA BIASHARA HARAMU

Jamani katika habari zilizokuwa sikuta kuziamin ni hii ya mmewe Jackie kuhusishwa na biashara ya madawa ya kulevya.Ila siku zinavyozidi kwenda na uchunguzi uliojionyesha  baada ya mwanadada mmoja kukamatwa uwanja wa ndege wa Dar na kusema mwenyemzigo ni TEEF.

Jackie
mmewe  alifatwa kwake mbezi beach saa kumi na mbili asubuhi na
kwenda kituo cha Polisi kwa mahojiano zaidi. kama akikutwa na ushahidi tosha basi
atapandishwa mahakamani,Poor jackie juzi aliandika facebook
anaweza divorce Watu wengi walimsihi asifanye hayo maamuzi
naamini matatizo yataisha tu!
Wanawake tujifunze kuwa wavumilivu haswa kwenye mitihani mikubwa kama hii!

Jackie akiwa na mmewe Teef Fundikira
Gud time

Mzigo unaoshtumiwa wa Teef

1 comment:

mama loshi said...

pole zao .ila bibie anatakiwa avumilie maisha ni kupata.na kukosa .raha na shida akomaaehapohapo.walivyokuwa anakula bata wte mmm atulie .

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...