Najifurahia kuwa mama kwenye maisha yangu.Mama inamana ndefu inaundwa na mambo mengi kwa mtoto upendo,kujali,Uruma na kumfurahia kwa mazuri afanyapo.tuwape mapenzi na maisha bora kwao.Tupinge kunyanyaswa kwa watoto . LETS LOVE OUR MOTHERS.wana mana nyingi kwenye maisha yetu na wameplay kila party ya maisha yetu.
HAPPY MOTHER'S DAY
Moi n my little boy
My playmate
This is My Beloved mommy alienifanya leo na mimi niitwe mama
I luv her n i always take a good care for her ,she is party of my heart!
bila kumsahau Mama mkwe wangu huko Burundi she is a such Beautiful
mommy alieniletea the most gojas hubby in this world Luv u too mama mkwe.
Three Beautiful Momies,Mama Dany anawajukuu 7 n still more are comming.
hapa ilikuwa one of the kid's event just make them happier
Good Momies always taking gud care of kids n making them happy
No one like you Baby B
Mtoto ni furaha na Amani ya moyo zawadi isiyokwisha
utamu hasa ukiijua dhamani yake.
Mama unajisikia amani mtoto anapopata furaha.
Momies wanapokutana ni furaha kwa watoto
kabinti kazuri haka @sauti ya Brandon
Muchumba ya Mghana Doroth baby
Momies can look hot too
Enjoy the rest of your
W-END
5 comments:
thx kijuli and u happy maamaz day picha nzuri sanaa love it
kumpa mtoto raha tu unaweza hongera mama
asante my dear
picha ya mwisho nimeipenda bwana wewe mzuri such sexy girl you deserved it keep bang bang
hahhaha asnte muke ya murundi laza anasema hujamuweka .mbona dori yupo .haya wewe.brandoni kamtolea macho mtt wa seyang makubwa kazi ipo.
Post a Comment