Napenda wenzetu wanavyochukulia usanii ni kama ajira nyingine
Riri akifanyia mazoea video ya nyimbo yake mpya ''Where have you been'',hadi inapendeza
ila wasanii wetu wa Tanzania sijui atakama wanafanyaga mazoezi.Wa West Africa wametuacha mbali sana wana copy na vitu vinapendeza wasanii wetu wanajifunze mweeh
No comments:
Post a Comment