Apr 15, 2012

FASHION DISASTER @KILIMUSIK AWARDS 2012

Jalux fashion disaster- guys jana nilikuwa suprised sana,nilibahatika kuiona KiliMusik Awards live. nilichokiona wala sikuamini macho yangu yani baadhi ya mastar wetu ni very ovyo kwenye fashion  police kuanzia nywele,nguo ,make up. miaka ya nyuma walikuwa wanaume wakichemka ila kwa sasa kaka  zetu walikuwa fullswagger.
shilole sijui ndio alitaka kumatch au vp sikumwelewa


huyu dada yani sijui nianzie wapi!anamazimoro anavaa kimini kifupi ivi
hilo belt


Gals wat is this Salma na Floral bongo movie!
hapa angekuwa Wema huwa hakosei i luv her fashion policy


H baba na mpenziewe Floral walichemka live.


Luiza Mbutu
                                                                          



qeen Daleen  na hizo accessories!

2 comments:

Anonymous said...

Mbavu zangu mana shilole ametishaaaa hizo pamba zake

Anonymous said...

makubwa mi nashanga tz kuna pamba za kuuwa mtu .yani mwaka huu mavazi walichemka havijanoga jamni wapi wema sepetu mdada hakoseagi..tz bado wanaovaga vizuri wanahesabika mmmm

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...