Guys niliwahaidi ningewawekea picha za IBM Dar ,ila yaniotokea nahitaji pole picha zote zilifutwa na Laptop yangu ndogo ikavunjwa yote haya yalifanywa na baby Brandon mana nilihamishia picha Zote kwenye laptop any way nilikuwa na video nilishoot siku ya IBM
kwa wale mnao mjua Rio paul aliamua kucheza kama stripper
ilikuwa fun sana watu weew watch a video ingawa sio gud quality
7 comments:
hahha yani mnakaa nakumshangilia huyo shoga kweli dunia tambala bovu
mamaloshi huyo au macho yangu mswada pls
mbona hamonekani weka mwanga jmn
ndio ni mamalosh
yap that's wats up ndio mana nakupenda mama b angalau nimepata mwonekana wa IBM ilivyokuwa
hhahhahaha kucheka na kulia vyote ni furaha huyo kaka anajionea sawa tu ndo maisha yake so uwezi kubadilisha mtu matendo yake kila mtu ataubeba msalaba wake kwa raha zake .tulifuraia sana tu.mama loshi
Raha ujipe mama nilichelewa wapi kutoiona hii?? Safi sana.
Mama D
Post a Comment