Versace na nicki minaj
Maduka yalijaa ya H&M asubuhi ya saa kumi na mbili na wapo waliolala hapo hapo kungojea maduka yafunguliwe kuazia Milan, Stockholm,london ,
shanghai foleni ilikuwa hivyo
watu kweli wanampenda versace hili baridi ukalala nje kisa nguo nilipita saa moja na nusu asubuhi pale drottning gatan stockholm nikiwa naenda kazini nikakuta wenye mashuka blankets,viti wanasubiri maduka yafunguliwe.leggings swagg za nicki minaj 2tone
gauni sequine na studded hapo unachagua wewe sasa
viatu nimevipenda sana kuliko nguo.
accessories nazo zilikuwepo handbag za studded
swagg za kiume
New collection yake versace amedesign kwa kutumia material ya palm tree,coconut tree kuna velvet na seguine zimerudi kwenye fashion kwa sasa.ila sijapenda kabisa material alizotumia ila kila mtu na choice yake ndio mana watu wakalala nje LMAO.
1 comment:
wazimu huo nguo zenyewe mbaya,anatumia cheap materials labda kama watu wananunua jina versace ila hakuna jipya hapo
Post a Comment